Flag

Kenya

Nyumbani

 


Mbolea za umaalum za ubora wa hali ya juu!
Solufeed ni kampuni iliyoko Uingereza inayotengeneza mbolea za umaalum na inayojishughulisha na kilimo cha mboga na maua, zaraa na vistawishi. Bidhaa bora zinasaidiwa na huduma za kibiashara na kiufundi zinazohusudiwa.
Katika kipindi cha miaka sitini ya biashara, Solufeed imejijengea sifa ya ubora, utegemevu na uthamini, hivyo basi kuwa mgavi wa chaguo wa mbolea kwa maelfu ya wakuzaji katika nchi zaidi ya 40 ulimwenguni kote.

Mbolea za NPK mumunyifu majini
Mbolea ya virutubisho ambayo ni 'chelated.
Mbolea kutokana na majani
Mbolea oevu za NPK
Mbolea za kikaboni
Bidhaa maalum
Bidhaa hutengenezwa kukidhi viwango vya kimataifa vya ubora wa bidhaa Uingereza.


Tuna vifaa na miundo bora vinavyostawishwa zaidi na biashara na ufundi.
Kwa kifupi, kujiamini kupitia ubora.


Tuna fahari kuwakilishwa na ACE ambao wana uwezo katika ugavi wa bidhaa za Solufeed katika masoko ya nchini.

 

Welcome to the Solufeed Kenya English home page.
Solufeed is a UK-based speciality fertilizer manufacturer active in the high quality horticultural, agricultural and amenity sectors. Excellent products are supported by enviable commercial and technical services. During 60 years of trading Solufeed has built a reputation for quality, reliability and value becoming the fertilizer supply partner of choice for tens of thousands of growers in over 40 countries throughout the world.

Water soluble NPK fertilizers
Chelated micronutrient fertilizers
Foliar fertilizers
Liquid NPK fertilizers
Organic fertilizers
Special products


Products are manufactured to exacting international quality standards in England. We have dedicated manufacturing facilities, excellent logistics systems and all enjoy 1st class commercial and technical support.  Put simply - "confidence through quality".

We are proud to be represented by Additive & Chemicals Essentials- ACE who are well placed to support the Solufeed range locally.